Added by fed calvin on May 7, 2012

Started by rahma bashary in Dating. Last reply by Haz Apr 3. 23 Replies 0 Likes
Started by lipcandy in Love. Last reply by 3sdwv1535bult Apr 10. 5 Replies 0 Likes
Started by immaculate njalangi in Love Sep 16, 2010. 0 Replies 0 Likes
Started by Greahopes Healh in Sex. Last reply by Cheng Xiangx Aug 31, 2010. 15 Replies 0 Likes
Started by fareed b.hamad in Life Nov 13, 2010. 0 Replies 0 Likes
Posted by G5 NEWS on May 14, 2012 at 1:01pm 1 Comment 0 Likes
Nyaraka zilizopatikana kutoka nyumbani kwa Osama bin Laden huko Abbottabad, Pakistan, zinaonesha kuwa jumuiya yake ilikuwa na matatizo ya kuyadhibiti matawi yake ulimwenguni kote, hasa vitendo vilivyopelekea mauaji ya Waislamu.
Mvulana wa Kisomali akiangalia mabaki ya gari iliyokuwa na bomu lililolipuka kwenye barabara yenye harakati nyingi karibu na makazi ya raisi mjini Mogadishu hapo tarehe 21 Machi. Maafisa waliwalaumu al-Shabaab kwa shambulizi hilo. [Na Mohamed Abdiwahab/AFP]
Mvulana wa Kisomali akiangalia mabaki ya gari iliyokuwa na bomu lililolipuka kwenye barabara yenye harakati nyingi karibu na makazi ya raisi mjini Mogadishu hapo tarehe 21 Machi. Maafisa waliwalaumu al-Shabaab kwa shambulizi hilo.Nyaraka hizo, ambazo zilitolewa hadhari siku ya Alhamis (tarehe 3 Machi), zinaonesha kuwa kiongozi huyo wa zamani wa al-Qaida alikuwa anaelewa…

Posted by G5 NEWS on May 14, 2012 at 12:59pm 0 Comments 0 Likes
Uamuzi wa Rais Jakaya Kikwete wa kufuatilia mapendekezo ya bunge kwa kuwaondosha mawaziri waliohusika na utumiaji mbaya wa fedha za umma ni ishara kwamba Tanzania inaiga hatua kama taifa la kidemokrasia, wachambuzi wa siasa na wanasiasa waliiambia Sabahi.Kikwete aliwafukuza kazi mawaziri sita siku ya Ijumaa (tarehe 4 Mei) kwa tuhuma za ubadhilifu wa fedha za umma, wakiwemo Waziri wa Fedha Mustafa Mkulo, Waziri wa Nishati na Madini William Ngeleja, Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Haji Mponda, Waziri wa Maliasili na Utalii Ezekiel Maige, Waziri wa Usafirishaji Omari Nundu, na Waziri wa Viwanda na Biashara Cyril Chami.
Wakiwemo, Naibu Waziri wa Usafirishaji Athumani Mfutakamba na Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Lucy Nkya nao pia walifutwa kazi.
Katika hotuba yake kwa njia ya televisheni, Kikwete aliliambia taifa kwamba alishasikia wito wa…

Posted by G5 NEWS on May 14, 2012 at 12:41pm 0 Comments 0 Likes
Posted by G5 NEWS on May 14, 2012 at 12:39pm 0 Comments 0 Likes
Posted by G5 NEWS on May 14, 2012 at 12:30pm 0 Comments 0 Likes
Posted by G5 NEWS on May 13, 2012 at 2:21pm 0 Comments 1 Like
From the moment you blessed my invasion,
Without my prior persuasion to your land of Malaysian,
Where all babies have their first holidays during their creation in God's equation,
Mama loving you is the only way to say thank you for what I have become;
From the moment you touched your body as I grow inside as a fetus,
The warmth, care, love was felt by me,
And I responded with a kick,
You eat even what at times thought not delicious,
You went through all the troubles to make sure I am safe,
Mama loving you is the only way to say thank you for what I have become;
You gave birth with so much pride even the pain was not equal,
You took me into your arms with a…

Posted by G5 NEWS on May 11, 2012 at 6:25pm 3 Comments 0 Likes
Jacquelin Wolper Atoa Dollari Elfu 10 Sawa Sawa Na Shillingi Mil.15 Za Kitanzania Katika Mchango Wa Matibabu Ya Muigizaji Juma Kilowoko 'SAJUKI'. Awali Hela Zilizochangwa Zilifikia Kiasi Cha Sh.Mil 16 Kati Ya Mil 25 Zilizokuwa Zikihitajika,Sasa Zimefika Zaidi Ya Mil 30,Hatimaye Sasa Sajuki Kuondoka Jumapili Au Jumatatu Kuelekea India Kwa Matibabu.
source:Simon TheDon
Posted by G5 NEWS on May 8, 2012 at 4:34pm 2 Comments 0 Likes
Added by fed calvin 0 Comments 0 Likes
Added by fed calvin 3 Comments 1 Like
Added by fed calvin 0 Comments 0 Likes
Added by fed calvin 0 Comments 2 Likes
© 2012 Designed & Developed by G5 CLICK COMPANY.

