Kaka Mustapha hebu naomba unisaidie hapa coz kila nikituma picha yanhu kwa email inaonekana sent lakini siioni hapa kwenye profile yangu. Je tatizo ni nini na address ya kuuploadia ni sahihi kabisa na ninayotuma picha zangu. Hebu naomba nisaidie kwa hili.