Advertisement

Latest Activity

ALFRED PIGANGOMA posted a status
"People's Power!"
2 hours ago
ALFRED PIGANGOMA updated their profile
2 hours ago
Profile IconFilbert Sangana, Agneto, ndaga mwaipopo and 7 more joined G5 world
2 hours ago
wanawake left a comment for princessmark677
"ooook i will"
5 hours ago

FIND G5 ON

ADVERTISEMENT

Top 3 Photos Today

1. yeah

Added by eddie juma on May 11, 2012

3. DEOOOO//.......

Added by Shebi Ngaya on May 18, 2012

Top 5 Videos this Week

1. muke wa mtu ni sumu.avi

Added by fed calvin on May 22, 2012

3. Dogo Hamidu ft, Mr Blue - 26 Number

Added by DJ CHOKA on October 1, 2009

Unampenzi unampenda sana takribani five years now? then unaamua kufunga safari kwenda kumtembelea coz anaishi mkoa tofauti na unaoishi wewe, unafika anakupokea vizuri sana na mnafurahia wote kuwa pamoja! Siku ya siku anakuomba umsaidie kupasi nguo yake au shati lipo kwenye bag kwani ye atachelewa kidogo, unafungua bag na unatoa shati unakutana na nguo za ndani za demu mwingine/men na kanga ambazo zinaonyesha kuwa kunamtu huwa anakuja pale. Na ukizingatia maisha kayaanza tangu tu mkiwa pamoja. Je utafanyaje

Views: 10

Reply to This

Replies to This Discussion

mmh its depend!!!
kama ni mimi ningejiuliza huyu kafanya maksudi nione kwamba sitakiwi tena au ............
pili ningemuuliza,nisikie version yake,
tatu ningerudi nilikotoka nitulize roho yangu then mengineyo yatafuatia baadaye
nne sitamuamini tena!!!in case kama kuna kurudi nyuma
Yah utarudi uliko toka but kumbuka alikuwa tegemeo lako! na ukisema kutuliza moyo hayo ni matumaini coz if you had real love huwezi kuvumilia hata kidogo kumuuliza atakwambia its was my sister left here,,,,,

rahma bashary said:
mmh its depend!!!
kama ni mimi ningejiuliza huyu kafanya maksudi nione kwamba sitakiwi tena au ............
pili ningemuuliza,nisikie version yake,
tatu ningerudi nilikotoka nitulize roho yangu then mengineyo yatafuatia baadaye
nne sitamuamini tena!!!in case kama kuna kurudi nyuma
kama ni tegemeo basi amini nguo hizo ni za sister!!
then funga safari mpelekeni sister nguo zake!!
s***!!!!will ask him wah gwarnin...lakini i wont do it ova da fone...

i will wait for him to kam bak home...talk to him like nofin eva happen den akiingia ndani kubadilisha hayo mawanda yake ndo nitakapo muuliza hizo ngu za mwanamke andani ya begi lake zinafanya nini???? anieleze maelezo yenye kina tupate kuelewane...siniletee dem talk like ohhh ma sis came over and left her s*** here...B******* ...
kwamimi ningemuuliza nimsikilize ana lipi then ntarudi 2 nilikotoka kwani ni ngum kumwamini tena labda kama kuna sababu nzito iliyo mpelekea kufanya hivyo.dah but al in all itakuwa ngum sana it pain kinoma
Rahma sipo na wewe kabisa angalau amina ila wote bado hamjanishawishi, Ok dada yangu Juby kwanza ujue wote huwa tuna tabia ya kusomana haswa kipindi cha uchumba/urafiki, moja kati ya kitu muhimu kutafuta ni hasira za mwenzi wako, uwezo wake wa kufikiri, uwwepesi wa kusameana na kusahau yalopita, furaha ya mwenzio n.k. Sasa yawezekana kaweka mtego kuona reaction yako, pia hilo hata kama kuna mtu wewe hutakiwi kureact vibaya cha muhimu muandalie nguo alivyokuagiza, then ulichokiona unakiweka juu akija ajue kabisa umeziona then usiulize kitu, akija muandalie kila kitu then mnaendelea kama kawaida, kesho yake mkiwa kwenye furaha ndo muulize kama ni za demu wake atashindwa kukujibu na kama mtego basi atakuelimisha kwa hilo. Kama utagundua kuna ukweli basi muulize msimamo wake na huyo na ujue mipango yako na yeye. Then kama alikuwaga na mtu basi ujue ndo kafungua ukurasa mpya na wewe basi msamehe kwani kukosa kupo ila mbaya zaidi ni kutobadilika. Ujue mtu mzuri ni yule ambayer ukimshauri anakusikia na ana badilika. Hoja yako nzuri sana.
unajua like now days...any success in a man's life got a woman's hands... sasa kama the guy ameanza kujitegemea after starting to date the girl..means the gul is part and coaz of what he had accomplished in his life and playin her like that... du!! just can't image coaz am puting ma self in dat picture as the gul..
Daa huyu alishindwa kukuambia kwa mdomo kama AMEEBUA NGOMA NYENGINE  na wewe bado upo ktk akili yake na ndio maana akakubali umtembele,lakini kama ni mimi sitomuambia kitu ila kesho yake au kama mida ile kuna usafiri naamuaga, imetokea dharura sina budi kuondoka na hiyo tena itakua ndio imetokaaaaa! ijapokua nampenda lakini nitakaza roho nimeze mfupaa!
Ebwanae iyo Kali ukikuta wenye moyo mdhaifu Kama wa siwezi kunywa sumu kwasababu warembo wako wengi ila nikikata Kamba hata ukinibembeleza siwezi rudi Kama awali ayo ndo yang sijui kwa upande mwingine
Nikuachana naye kwani hakutakuwa na uaminifu tena ktk penzi lenu

RSS

© 2012   Designed & Developed by G5 CLICK COMPANY.

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service