Advertisement

Latest Activity

ALFRED PIGANGOMA posted a status
"People's Power!"
2 hours ago
ALFRED PIGANGOMA updated their profile
2 hours ago
Profile IconFilbert Sangana, Agneto, ndaga mwaipopo and 7 more joined G5 world
2 hours ago
wanawake left a comment for princessmark677
"ooook i will"
5 hours ago

FIND G5 ON

ADVERTISEMENT

Top 3 Photos Today

1. yeah

Added by eddie juma on May 11, 2012

3. DEOOOO//.......

Added by Shebi Ngaya on May 18, 2012

Top 5 Videos this Week

1. muke wa mtu ni sumu.avi

Added by fed calvin on May 22, 2012

3. Dogo Hamidu ft, Mr Blue - 26 Number

Added by DJ CHOKA on October 1, 2009

Tambua kuwa ni wengi hasa vijana wa rika letu huanza mapenzi pasipo tambua umuhimu wa kuwa na mpenzi dats y baada ya muda huchuja wengi we2 wanadhani mapenzi ni ngono tu ni sawa na m2 anayeoa pasipo tambua nini maana ya kuoa,unaoa kwa madhumuni gani?na ili upate nini,wapo wanaooa kwakuwa wamechoka life la kigetogeto(kupika,kufua,na usafi kwa ujuml na wapo wanaooa kwa kuwa fulani kaoa hivyo hutafuta sifa bila kujua madhara ya kufuata mkumbo its over mwanangu keep in real & keep in touch

Views: 4

Reply to This

Replies to This Discussion

Ni kweli wangu
KAMA ULIKUWEPO  VILE  NDANI  YA  AKILI  YANGU.  YAANI  KAKA  SWALA    HILO    LIPIGIE  MSTARI  HATA  MIMI  KWA  UJUMLA  NAJIONEA  KWA  WASHKAJI  WANGU.  NA  MADHARA  YA  NDOA  ZA  SIKU  HIZI NI   NI  KUWAACHANA  TU   BILA  KUJUA  MAANA  YA NDOA.  NA  NDIO  MAANA  NDUGU  YANGU  MIMI  MWENYEWE  SIJASHINDWA  KUOA    PAMOJA  NIKWAMBA  MUDA  MINGINE  NAFIKA  HOME  MIDA  IMEKWISHA  MFANO  SAA  NANE  ZA  USIKU  NIMETOKA  JOB   NABIDI    NILALE  THAN  ASUBUHI  NIFANYE  MPANGO  MZIMA  NASIKWAMBII  ME  KUWA  NITAKULA  KWA  MAMA  NTILIE.  NO  CHA  MUHIMU  NAKOROFISHA  UGALI  MKUBWAAAA   SIZE  AMBAYO  PANYA  HARUKI.  NAUKAMUA  KISHA  ZANGU  JOB.  LAKINI  KILA  NINAPOFIKIRIA  KUOA  NAONA  ITAKUWA  NAUMIZA  NAFSI  YANGU  MAANA  SIPENDI  MATATIZO  NA  BADO  UMRI  WANGU  NI  MDOGOILA  NAMUOMBA  MUNGU  ANIPE  MOYO  WAKU

Duh kweli kaka kama rafiki yangu mmoja anadai ameoa mapema ili ili asipate shida kutafuta wadada wa kufanya nae ngono.. sasa kaka hiyo unaona imekaa gud kweli..? Mi naona Mkubwa hapo umeongea dats y cku hizi hizi ni full kutoana manundu sababu kubwa ni hiyo uliyosema kuoana wakati bado watoto wanachujua wao ni ngono tu.. very stupid..

...Kwa Abel, wewe kwa mtazamo wako dhumuni kubwa la kuoa/kuolewa ni nini hasa?
Yah ni kweli unavyosema lakini Dunia ya sasa imejaaa matamanio mengi sana kiasi cha kufanya vijana wengi wasiwe na chaguo sahihi na badala yake ni kutamanmi tu. Na dada zetu pia wanatakiwa wabadilike kwani mavazi yao pia uchangia vijana kuwatamani na si kuwapenda. Na inapofika wakati wa kuoa wengi vijana hukurupuka tu na kuingia ktk mtego na baadae kujutia maamuzi yao.
Hey man you hit in de real ding even ma self i have been hurted with many times and for what i have got in love i dont to marry any gal!
huo ndio ukwel,
THIs Tha'ts True, tHANK u sO much
yapu hio kweli

RSS

© 2012   Designed & Developed by G5 CLICK COMPANY.

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service