Advertisement

Latest Activity

ALFRED PIGANGOMA posted a status
"People's Power!"
2 hours ago
ALFRED PIGANGOMA updated their profile
2 hours ago
Profile IconFilbert Sangana, Agneto, ndaga mwaipopo and 7 more joined G5 world
2 hours ago
wanawake left a comment for princessmark677
"ooook i will"
5 hours ago

FIND G5 ON

ADVERTISEMENT

Top 3 Photos Today

1. yeah

Added by eddie juma on May 11, 2012

3. DEOOOO//.......

Added by Shebi Ngaya on May 18, 2012

Top 5 Videos this Week

1. muke wa mtu ni sumu.avi

Added by fed calvin on May 22, 2012

3. Dogo Hamidu ft, Mr Blue - 26 Number

Added by DJ CHOKA on October 1, 2009

Mnaionaje MAISHA PLUS ya mwaka huu (2010) ambayo ni season 2..? kupitia TBC


Maisha Plus season 2 mwaka 2010 imeanza tarehe moja
mwezi wa kwanza na washiriki 18 ndani kwenye TBC...Je wewe unaionaje...Unaswali lolote, ushauri/ maoni..... kwa
waandaji au washiriki..?

Tags: bonda, kipanya, maisha, masoud, plus

Views: 51

Reply to This

Replies to This Discussion

Maisha Plus ya sasa hivi ina boa snaa. washiriki wengie wanaishi maisha ya kuigiza, wambea, hawana mvuto ktk kuishi kijijini. Kauthar, mama Africa, Neema wa shinyanga wanaharibu Maisha Plus. Fitna Nyingi. Hawana ile mvuto hata mtu kutizama kipindi. Wambea sna. Na wewe Kaka Masud kwann haufanyii editing kabla hujarusha hivyo vipindi hewani??
Kwa Kifupi Maisha Plus ya sasa haina Msisimko hata Kidogo. Bora hata isiendelee tena. Boring
yahh man even me i feel so bad coz the"re no change know ?!
so minaona kuwa mwaka huu kama siwaelewi vile?
mapose mengi wajuaji kibao !!maybe kwa ngoma hawajambo?
make wanacheza kama vile wako ..........!k see u next
dis iz george frm kigali rwanda !!!!!!bg up kwa washiliki wa last year!
hasa baba lao abdul next man/!!!
hasa mi kile kama kisomari me i dont like her just tell her
we have a lot goods gurl here in kgl there 4 asijifanye mzuri sana
kwani hana chochote!!!ok lem ask u man ndo yeye alie simulia tol kuhusu
RAY C?ama nimekosea ?kuna gazeti moja hivi la udaku nilisoma hiyo news !!
Maisha plus season one imeonyesha maisha halisi ya mtanzania jinsi yalivyo na kwa wakati ule wale washiriki wakina charles, abdul, Steve. maulidi wadi na wengine walikuwa wanaishi yale maisha halisi, lakini tatizo nililoliona kwa washiriki wa sasa wengi wanaishi kama wanaigiza unajua kwakuwa watakuwa kule almost three months lazima zile tabia zao halisi zitaonekana lakini pia kuna tatizo katika urushaji wa hivi vipindi vya maisha plus, mimi tangu maisha plus imeanza nimeangalia kama mara tano tu maana vipindi vinarushwa muda wa kazi saa sita mchana. sasa sisi wengine ambao tunashinda katika kujenga taifa tutawezaje kuangalia hiyo maisha plus?? Actually mimi ni mpenzi sana wa maisha plus ya kina masudi lakini itabidi sasa masudi na timu yake wakae na TBC1 ikiwezekana waweze kubadili schedule ya vipindi vya maisha plus mimi kwa sasa hivi hata ukiniambia nitoe COmment nani anastahili kuchukua ile siwezi nikatoa maana bado sijaweza kuwachekio vizuri wale washiriki katika zile siku tano nilizoangalia ndio nimeweza kuona baadhi ya washiriki wanaishi maisha ya kuigiza. hawapo really.., kwa hiyo bro masudi Fanyia kazi kuhus hili suala la TBC1 na schedule za maisha plus ni hayo tu!!!!!!
Mimi Napendekeza masou vumbua kitu Kingine achana na Maisha Plus, imekosa Mvuto Kabisaaaa. Umbea mwingi. Yule mdada wa kisomali atolewe wiki hiii ndio aliyekuwa akimsema Ray C na Liyumba. Hivi wewe masoud huwezi ku edit hizo clip mpk ziende hewani??? na Hao TBC1 wnaorusha vipindi hawavitizami vitatela madhara gani?? Hebu acheni Ujinga bwana. Maisha Plus ya mwaka jana ilikuwa na msisimko Haswa hutamani kukosa hata sekundu, wazazi pia walikuwa wanatizama lakini sasa hivi imepoteza wapenzi kabisaaa. Yaani I wish hata kisifikie mwisho. warudisheni washiriki makwao?? Na hii inatokana na Uhaguzi Mbovu wa washikiri. Baby Madaha hakufaa kuwa judge pale , alikuw anauza tuu sura na mi lipstick yake kama kapewa bure. Imenikera snaaa mimi wala sitaki kuitizama na hata sitokaa nikapiga kura kabisaaa. Big Up kwa Maulid Wadi, Charles, Steve, Modesta, Maulidi wa Znz Tumewamiss sna bora hata nyie mngerudishwa tena Kijijini. Kuliko hawa tulioketewa sasa hivi. Boring, Boring snaaaaaa.
Napenda anza kwa kukupongeza bro masudi kwa kuendesha kipindi chako vyema pamoja na crew nzima ya maisha plus akiwepo pia kaka bonda na baby madaha keep it up kazi nzuri.Napenda kuchangia hii mada inayohusu je maisha plus season 2 iko poa au la .Daah kwa upande wangu maisha plus ni kipind kizuri na season ya kwanza ilikua poa lakini kwa iki kipind season 2 kwa kweli aipo poa ina borred sana yani washiriki wanaigiza awapo serious kuonyesha maisha alisi ya kijijini yani cio bomba ukikompea alivo abdul,teddy,charles ilikua poa sana na kuhusu muda kwa kweli muda kaka masudi aujatuli na advice ingekua kuanzia alu saa tatu kama awali na sio mchna nakuludiwa saa tanao za ucku inaboa.
Wats up guys,
for sure maisha plus ya mwaka huu haijatulia kabisa kabisa, watu wanachonga saaaaaaana, umbe umbea mwiiiiiiingi isivyo kawaida, yani ya mwaka jani ilifunika mbaya.
ya mwaka huu hata kusema mtu usubiri kuangalia unaishiwa nguvu maana mtu unaishia kuangalia watu wanavyosemana na kuzodoana, sasa hiyo ni maisha ya kijijini au maisha ya uswahilini.
wadada wanakatika hovyo utafikiri machangu doa fulani, sasa hapo mnafundisha maisha ya kijijini asilia au maisha ya mdundiko huko uswazi, wadada utafikiri walizaliwa baa
yani ni bora mkaikatikisha hapohapo ilipofikia basi inatosha maana mnafundisha watoto wanaoangalia mchana mambomachafu.
mbayaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa, mbaya sana
haina mvuto kabisa. Umbea mtupu.
Dah washiriki wa mwaka huu wanaboa sana kwani wengi wanafikiria kuwa wanatengeneza sinema hivyo wanataka kuishi kwa kufuata clips walizotoka nazo nyumbani! Umbea ni mwingi, ubabe usiseme, ujuaji ndio eeeheeeh, sijui huko mbele itakuwaje

Masoud na TBC 1 Mnatuchanganya juu ya muda wa kipindi cha maisha plus maana haueleweki kama homa ya mafua ya nguruwe.
Ebwana kwanza ni afadhali umetupa nafasi ya kuchangia about this contest...Kwanza kwa mwaka huu shindano hilo la maisha plus watu hawaishi yale maisha halisi bali wanaigiza nakuiga yale waliyofanya wale washiriki wa MAISHA PLUS PART 1...Binafsi sijafurahia hata kidogo maana limepoteza mvuto kabisaaaaaaaaaaaa....
Maisha ya mwaka huu wanauza sura sitaki hata kuangalia, labda ianze tena upya na mtakapo kuwa mnatafuta washiriki, msiangalie sana wale wenye misifa, chukueni watu wa kawaida na watakaokuwa wanatufundisha maisha halisi hasa tunakuwa katika mazingira ambayo si ya nyumbani.

MAISHA PLUS ACHENI KUUZA SURA MNATUBOA NA HATA HIZO KURA MTAZIKOSA KWA KUWA HATUANGALII TENA HICHO KIPINDI!!!
kiukweli maisha plus season 2 inaboa saaaaaaaaaaaaaana na haileweki kabisa so wajaribu kuwa wabunifu pengine
watatuvuta. kwani kwa ss hawatuvutii kabisa

RSS

© 2012   Designed & Developed by G5 CLICK COMPANY.

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service