Advertisement

Latest Activity

ALFRED PIGANGOMA posted a status
"People's Power!"
2 hours ago
ALFRED PIGANGOMA updated their profile
2 hours ago
Profile IconFilbert Sangana, Agneto, ndaga mwaipopo and 7 more joined G5 world
3 hours ago
wanawake left a comment for princessmark677
"ooook i will"
5 hours ago

FIND G5 ON

ADVERTISEMENT

Top 3 Photos Today

1. yeah

Added by eddie juma on May 11, 2012

3. DEOOOO//.......

Added by Shebi Ngaya on May 18, 2012

Top 5 Videos this Week

1. muke wa mtu ni sumu.avi

Added by fed calvin on May 22, 2012

3. Dogo Hamidu ft, Mr Blue - 26 Number

Added by DJ CHOKA on October 1, 2009

Mnaionaje MAISHA PLUS ya mwaka huu (2010) ambayo ni season 2..? kupitia TBC


Maisha Plus season 2 mwaka 2010 imeanza tarehe moja
mwezi wa kwanza na washiriki 18 ndani kwenye TBC...Je wewe unaionaje...Unaswali lolote, ushauri/ maoni..... kwa
waandaji au washiriki..?

Tags: bonda, kipanya, maisha, masoud, plus

Views: 51

Reply to This

Replies to This Discussion

Ki ukweli wadau wenzangu, mie nasema ukweli wa dhati kutoka moyoni mwangu, Masoud na crew nzima tunaomba mzingatie hya tunayosema huku, sio tunapiga porojo tuuu au tunapoteza muda, mimi ni mfuatiliaji sna wa Maisha Plus. Ila ki ukweli Kauthar ( yule dada wa kisomali) anaboa kuliko wahsiriki wte, amekaa kizimbani misimu 2 na hajatolewa, kitu kilichonikera zaidi ni last week yuko kizimbani lakini still anachonga mdomo, Yule dadaa ni mchafu wa tabia sna haswa umbea na majungu, mkifuatilia scene zinazoonyeshwa kila cku yule dada hakosekani na umbea, sasa nashangaa jamii inafundishwa nini, and anapenda kuongelea story ambazo hazina manufaa kwa jamii inayomtizama, Kauthar atoke tuu asipotoka wiki hii Masoud na crew nzima ya Maisha Plus haina maana hata kidogo. sisi hatuwezi kupoteza fedha na muda wetu kupiga kura halafu wabaki wengine kijijini, huo muda wa kutizama bora nitizame hata Tomy & Jerry kweli kabisa nicheke nifurahi kuliko kutizama ujinga wa Kauthar, msimteteee sna kisa ni msomali, kuna cku alilalamika sna eti anabaguliwa kisa asili yake, mbna kuna Mmsai kule na ana couple na wenzie vizuri?? watu sio ndio wanaonaga Mmsai hana thamani but he is doing well than others. Big Up Mmasai nimesahau jina lako. Big Up Thaiba from Znz and Alex from Mbeya.
Hii iende direct kwa Masoud, japo cku nzima ina 24 hrs, nyie mnatuonyesha nusu saa ina maana 23 1/2 yte hatujui nini kinaendelea and ktk hyo nusu saa tunaona vituko vya hali ya juu vya huyu dada je hayo masaa 23 na nusu yaliyobaki si balaaa. Aotke tuu hyuu jamani anatia kichefu chefu ktk Maisha Plus,
KAUTHAR OUT
KAUTHAR OUT
KAUTHAR OUT
Nimepata Nyepesi Nyepesi kutoka TBC Fm ( Radio ) kuwa wikii hii ni Fake Eviction na Nominees ni Alex, Kauthar cjui na nani tena, watakaopigiwa kura nyingi ndio watenda kula bata kam kipindi kile cha Charles na Steve, Naomba Hivi aende Alex na hyo mwengine Kauthar abaki kijijini coz ni Fake Eviction and next week basi atokee asiingie hata top Ten. Wadau amini tuu nafuatilia sna hii Maisha Plus na ninakerekwa sana na hyu Kauthar jamani, Hebu atoke tuu hata asinuse Top Ten, I wish ingekuwa uwezo wangu mimi ningemtoa hata sasa hivi.

Masoud, Bonda na crew nzima hope you read this comments here, please and please work on it, its serious anatuboa sna hyu dada cjui kama mnanielewa lakini hata wazazi hawana hata hamu ya kutizama hiki kipindi kimepoteza ule uhalisia kabisaa wa Maisha Plus. Mbana last year ilikuwa bomba saanaa jamani yaani hutamani hata kusogea pembeni tena tunatumiana sms kukumbushana Maisha Plus but now watu wakisikia tuu kale kamdundo wanabadilisha chanel,
"MSISITIZO " IF ITS FAKE EVICTION BASI ALEX NA HILO JINA LINGINE NDIO WAENDE KULA BATAAAA, KAUTHAR ABAKI KIJIJI MPK NEXT WEEK AINGIE TENA KIKAANGONI NA ATOKE KABISAAAAA"
ukweli maisha plus ya mwaka huu ni nzuri ila kuna mtu ananikera mm na wenzangu mm niko burundi ila ni mfatiliaji mzuri wa maisha plus yani naweza kusema kwamba nikama bujumbura nzima huwa tunaangalia maisha plus but kuna mtu ananikera sana ata baathi ja wajama zangu huwa wanana nambia yule dada wa kisomalia kauthar anatukera sana tena sana kama ingekuwa mm nina uwezo ningemtowa ata leo ju hatu comprandre kwa nn anakuwa ivo tena yy kama kiongozi hatakiwa kujifanya vile vrema moi je te jure kiongozi kama yy inatakiwa ajiangalie iv kuna watu uku kwetu kipindi kikianza tu wakimuona uyo somali wanachukia sana nihayo tu .tena kingine naomba waandaji wa maisha plus nataka kama itawezekana seaso ya3 ya maisha plus iwe ni kwa afrika mashariki yote yani kamavike le burundi le rwanda le kenya et l,uganda itakuwa vizuri sana tena sio mara ya kwanza ss watu wa huku buja tunaomba ivyo naomba mtusikilieze
Ni kweli ninamsupport huyu bwana toka Burundi, ninaomba Masudi na wenzako sasa mfikirie namna ya ku-expand MAISHA PLUS toka TANZANIA mpaka EAST AFRICA na pia iwe inafanyika hata katika mikoa mingine na isiwe Dar tu kila inapofanyika
Asante
maisha plus maigizo ila poa tu aminia
maisha plus aliweza abdul wa zenj
mi na show love kwa wote ila hakuna aliyefikia levo za beach boy ABDUL WA ZENJ maisha plus season one
VOTE FOR ALEX
VOTE FOR ALEX
THE WINNER OF MAISHA PLUS SEASON II IS ALEX FROM MBEYA
Hizi ni sababu za kumchagua Alex wa Mbeya kuwa Mshindi wa Maisha Plus Season II
1> Ana upeo mkubwa wa kuelewa na kuchanganua mambo
2> Katika maongezi yake mara nyingi hutumia busara na sio mropokaji
3> Mstahimilivu sana( Mfano baada ya kurudi kutoka mujini walikofanyiwa shopping vitu vyake vyote vimeungua na anaishi kwa nguo za kuazima,hana viatu lakini alielewa hali nzima na amepokea hyo hali kama changamoto ktk maisha.
4> Ana kipaji kizuri tuu cha utangazaji natumaini akiwa mshindi hatopotea masikioni mwa Jamii kwani nahisi atajiendeleza ktk fani yake ya Utangazaji na ataendelea Kusikika ktk Masikio ya watanzania wengi.
Watanzania ni Muda wa kuchagua kilicho bora
VOTE VOTE VOTE VOTE AND KEEPING VOTING FOR ALEX
ALEX THE WINNER OF MAISHA PLUS SEASON II

Masoud,bonda, babu, hope mnasoma hizi posts huku

BIG UP ALEX
meee ndo siipendiiii kabisa sesion 2 bora kuwatch carton jamani last year mwenzenu iwas deep inlove with maisha plus session one ebwanaa dahh when ithink of steve,charles,maulid,upendo ,teddy,balaaaah bt mwaka huu sijuhi hata mmoja usahili uanzee upya,
Hi..!
Maishaplus mwaka huu 2010 kwa kweli ilikuwa nzuri, japo ckuiona kwa ukamilifu wake likini nlifanikiwa kuifuatilia hata kwa kuiulizia maendeleo yk.
Pia maisha plus ya mwaka huu inavitu vingi vilivyobadilika kwa kweli. Infact nlikuwa nkijaribu kuuliza ndugu jamaa na marafiki kuwa Masoud alikuwa anafikiri nini? Hata hivyo mwenye kujibu swali hili kwa usahihi ni Kipanya mwenyewe.
Napenda niseme kitu hapa ambacho hata hivyo nlikuwa nkikisema pembeni, japo si kwa nia mbaya ila ni kwa sababu sikujua mtu sahihi wa kumweleza. Mimi sijaona kama ni sahihi sana mshiriki mmoja tu wa maisha plus ndiye akawa sahihi zaidi kupokea zawadi yote, msindi wa pili vipi, wa tatu je? Nne tano? Na wakati mwingine walioshiriki maisha plus, kwa uchungu, majungu, upendo, furaha n.k. Hawa wanapata nini?
Napenda jua lengo hasa la kumpa mshindi mmoja tu kila kitu japo hata hawa wengine watakuwa wamefaidika indirectly. Napenda Busara yako Kipanya.

Ahsante.

RSS

© 2012   Designed & Developed by G5 CLICK COMPANY.

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service