Advertisement

Latest Activity

Profile Iconfuraha godwin, Filbert Sangana, Agneto and 5 more joined G5 world
3 minutes ago
ALFRED PIGANGOMA posted a status
"People's Power!"
2 hours ago
ALFRED PIGANGOMA updated their profile
2 hours ago
wanawake left a comment for princessmark677
"ooook i will"
5 hours ago

FIND G5 ON

ADVERTISEMENT

Top 3 Photos Today

1. yeah

Added by eddie juma on May 11, 2012

3. DEOOOO//.......

Added by Shebi Ngaya on May 18, 2012

Top 5 Videos this Week

1. muke wa mtu ni sumu.avi

Added by fed calvin on May 22, 2012

3. Dogo Hamidu ft, Mr Blue - 26 Number

Added by DJ CHOKA on October 1, 2009

Kwa wakazi wa jiji la Dar wanafahamu kuwa foleni  zinachosha  sana  wakati wanapokuwa wanarejea makwao kutoka mihangaiko ya  kila siku, siyo mbaya  pia wabongo tukaungana pamoja wakati tukiwa kwenye foleni hizi kwa kuchemsha  ubongo  kupitia G5click.com kwa kujibu swali hilo la kizushi 

 

KAMA KUENDESHA  GARI UKIWA  UMELEWA  NI  KOSA  KISHERIA  KWANINI  BAR KUNA  PARKING?

Tags: KIZUSHI, LA, SWALI

Views: 266

Reply to This

Replies to This Discussion

Kwasababu wengi wanao kwenda bar wakuwa na madereva wao!!!!!!!! how abt that????

jombiii bar kuna parking kwakuwa c kila anayekunywa analewa na hawajathema uthiendeshe ukiwa umekunywa bali uthiendeshe ukiwa umelewa

ni parking kwa ajili ya wagen wanaokuja kunywa na sio wote wanakunywa na kulewa

sio kila anaenda bar anaenda kunywa wengine wanaenda kunywa non alcohol like soda,but parking zipo lakini aliyejenga bar nia ni watu waburudike na kupunguza mawazo

RSS

© 2012   Designed & Developed by G5 CLICK COMPANY.

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service