Jamani eeh watu, mie nimechoka kuingia tu youtube naona watoto wa Marekani, Jamaica, Brazil na sehemu nyingine, wameiteka youtube na video zao. Tena kuna video nyingine hazina hata mvuto za watoto wa k*** wanacheza. Sasa am tired of that, waungwana wekeni videos za watoto wa Bongo wakicheza coz i know we have the most sexiest and sensual dances so far. Basi uploading videos za Ngoma Baikoko, Mduara, Individual Dances hata za Mashuleni ambapo watoto wetu wa k*** wanakata mauno tuonyeshe dunia kwamba yote yameanzia huku kwetu. To start with, zianzie humu G5!!