Advertisement

Latest Activity

Profile Iconfuraha godwin, Filbert Sangana, Agneto and 5 more joined G5 world
5 minutes ago
ALFRED PIGANGOMA posted a status
"People's Power!"
2 hours ago
ALFRED PIGANGOMA updated their profile
2 hours ago
wanawake left a comment for princessmark677
"ooook i will"
5 hours ago

FIND G5 ON

ADVERTISEMENT

Top 3 Photos Today

1. yeah

Added by eddie juma on May 11, 2012

3. DEOOOO//.......

Added by Shebi Ngaya on May 18, 2012

Top 5 Videos this Week

1. muke wa mtu ni sumu.avi

Added by fed calvin on May 22, 2012

3. Dogo Hamidu ft, Mr Blue - 26 Number

Added by DJ CHOKA on October 1, 2009

WANAMUZIKI WA TANZANIA KUHAMAHAMA BAND KWA KISINGIZIO CHA KUTAFUTA MASLAHI, KUNAKUZA MUZIKI WAO AU KUNAUA VIPAJI VYAO

Kwa miaka mingi tumeshuhudia wanamuziki wa muziki wa dansi wanapokuwa katika band mojawapo wanafanya vizuri, wakisha pata jina hupata tamaa aidha ya kuhama band au kuanzisha band zao kwa matumaini kwamba kipato kitaongezeka. Lakini kinyume na matarajio yao hali inakuwa tofauti, matokeo yake wanakuwa hawavumi kama walipokuwa katika band zilizo ibua vipaji vyao. Mfano mzuri ni kwa wanamuziki kama Ali Choki, Banza Stone , Muumin Mwijuma na wangineo wameshuka sana kimuziki, ndo tuseme wamesha vichakachua vipaji vyao kwa kuhamahama, naomba wadau mnisaidie.

Views: 13

Reply to This

Replies to This Discussion

yah ni kweli tatizo tamaaa,wanavyovuma wanatamani iwe kila kitu chao,ukweli hawana elimu.njia ya kutika sio kukurupuka.Ay,FA,JD ni mfano wa kuigwa kwenye game huwezi kifaranga uanze kutaga mayai ati kisa unakimbia mbaya zaidi wanatoka kwa mbwembwe. 

Thank u for your sharing,maybe you will like chaussures air max 1.Have a nice day!

kwakweli ukihama sehemu uliyo izoea inabidi pale unapokwenda uanze moja kwamaana hiyo una lose kiasi fulani,lakini baada ya muda unatanua kipaji kwani unakua na hakiba uliyokuja nayo pale pia na ile utakayoipata pale hatimaye una gain twice,suala la maslahi si kweli kwani viwango ni hivyo hivyo havipishani.

RSS

© 2012   Designed & Developed by G5 CLICK COMPANY.

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service