Advertisement

Latest Activity

Profile Iconqiqizhen, george alfred, Patrick Buluda and 23 more joined G5 world
38 minutes ago
AIDAN JACKSON MAGANZA left a comment for asa graham
"Ooh, very happy birthday to you and I wish you a long life friend."
6 hours ago
AIDAN JACKSON MAGANZA left a comment for bilia mkangara
"Hello, happy birthday to you."
6 hours ago
AIDAN JACKSON MAGANZA left a comment for ahmed khamis
"Hi, I wish you a happy birthday. "
6 hours ago

FIND G5 ON

ADVERTISEMENT

Top 3 Photos Today

1. yeah

Added by eddie juma on May 11, 2012

2. Kili Music Awards 2012

Added by G5 NEWS on April 15, 2012

3. Kili Music Awards 2012

Added by G5 NEWS on April 15, 2012

Dr.Wilbroad Slaa Positive Suppotters

Information

Dr.Wilbroad Slaa Positive Suppotters

Members: 20
Latest Activity: May 12

Discussion Forum

This group does not have any discussions yet.

Comment Wall

Comment

You need to be a member of Dr.Wilbroad Slaa Positive Suppotters to add comments!

Comment by Silverius Mhagama on April 14, 2012 at 4:22pm

2gether sana kamanda wangu

Comment by massawee.. on June 28, 2011 at 2:41am
lets join our saviour....Dr.Slaa...Tanzania bila CCm inawezekana
Comment by MOSES KANGU on March 9, 2011 at 11:11am
Tunakuomba Raisi wetu mtarajiwa utembelee katika ziara zenu Mikoa yote ya Tanzania Bara ili Mwaka 2015 tuchukue kiti cha uraisi
Comment by mark on January 25, 2011 at 3:47pm
pamoja sana
Comment by LIMBE SAYI on October 28, 2010 at 2:50pm
NIKO PAMOJA NA WEWE MUDA WOTE WA MAPAMBANO NA HAWA MAFISADI
Comment by Gastro Siloly on October 16, 2010 at 5:01pm
ni nakushukuru sana kwa uamuzi wako wa kugombea nafasi ya urais, ninakuamini, na ninategemea yote uliyoahidi utatekeleza baba tupo pamoja. pamoja na fitina za ccm lakini tupo yuma yako usikate tamaa na kauli za akina makamba hao ni sawa na debe tu haliachi kuvuma
Comment by Dismatrixx on September 21, 2010 at 11:55am
Ni nguzo pekee iliyobakia katika kuamsha demokrasia ya kweli,maana kama viongozi waliopita tuliwapa ridhaa matokeo yake wakajinufaisha wenyewe kwa kujali mmaslahi yao na kusahau wajibu wao katika serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania .Pia ni kiongozi pekee aliyetufuta uso mpaka tukagundua ni uchaafu gani unaondelee katika serikali yetu ya chama cha mapinduzi,kama tulivyoona kashfa zote za ufisadi ni yeye aliyeonyesha vitendo viovu ambavyo mpaka leo uongozi wa juu unalifumbia macho na kuwakumbatia watenda maovu ambao wanatumia mali ya umma kwa matumizi yao binafsi.kama ulidanganywa utotoni na pipi kwa nini mpaka leo ukubali kudanganywa na pipi ile ile ilhali kuuna mtu alishakuonyesha madhara ya hiyo pipi.
kumbuka chama hakikuongozi wewe bali mtu ndani ya chama ndio anakuongoza wewe hata kama wewe ni mwanachama wa chama kingine usikubali maslaho ya chama chako yamsababishe kuchagua kiongozi anaye kumbatia uovu ambao kwa moja kwa moja unajidhihirisha .kuwa mzalendo chagua Dr.Wilbroad Slaa kama kiongozi wako ili tujene uwiano wa demokrasia katika nchi yetu kama wenzetu jirani kenya ambao sasa hadi katiba imebadilika na kuwa ya haki zaid kwa maslahi yao na si kwa watu baki.
Napenda kusisitiza kuwa chama ni muunganiko wa watu kuna wajinga na werevu bali mwanachama anakuwa kwa upande mmoja.Chagua slaa kwa maendeleo yako na yangu.
kumbuka hautakuwa unamkomoa mtu kutokupiga kura bali utakuwa unampa nafasi kiongozi mbadhilifu kuendelea kudidimiza maendeleo ya nchi.nenda kachague kiongozi wako leo na si mwingine bali ni Dr.Wilbroad Slaa pekee ndio kiongozi wa kweli na muwazi ambaye ameonyesha niia katika kuleta maendeleo
 

Members (20)

 
 
 

© 2012   Designed & Developed by G5 CLICK COMPANY.

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service