hip hop ni mziki wa ukweli, machalii wengi tunakubali, lakini tunawaua wasanii wa hip hop cuz wengi wetu hatununui kazi, wabana pua wanafanikiwa cuz mashabiki wao wananunua kazi, xo those who suport HIP HOP tununue kazi ili kuinua wasanii wa HIP HOP, HIP HOP 4 eva, hala 2 ol g5 membaz,nyuraaaaaaaaaaaaaaaaa
You need to be a member of G5 world to add comments!
Join G5 world