Comment by said mohamed on September 15, 2011 at 5:49pm
asalam alaykum jamian .baada ya hapo napenda kuwapa pole sana wa zanzibar wote kwa tokeo baya la ajali ya meli lililotokea usiku wa tarehe 11/09/2011 ,tokeo hili ni historia mbaya isosahaulika na kwa upande mwengine ni funzo dhidi ya wenye kumiliki vyombo vya usafiri khasa wa pwani kama vile boti wawena uangalifu wa kutosha juu ya maisha ya watu
You need to be a member of G5 world to add comments!
Join G5 world