Added by muhidini omary mkiwa on December 29, 2011
Comment
mmefanya jambo zuri sana Mungu ni wakumtanguliza kila wakati, mbarikiwe
Nataka kuapload gospel music nifanyeje???
G5 tunaomba nyimbo za waimbaji mbalimbali kama mmnavyofanya bongofleva YEHOVA mungu atazidi kuwabariki
Jamani tuwekeeni nyimbo zenye mvuto. Mbona zipo nyingi tu!
MBONA GOSPEL ZOTE ZA ZAMANI JAMANI/ TUNAOMBA MTUWEKEE NA ZA SASA. KAMA AKINA C SHUSHO!
Katika hili nafurahi sa kila ninapokuwa online. Haini lazimu kuwa na gosple muski katika cpc langu
Tunaomba hata song za wasabato pia ni nzuri sana kwa mafundisho na uimbaji wao tunao usikia katika dvd mbalimbali.
tunaomba tupewe nyimbo mbalimbali kwa mfano;ROSE MUHANDO,BAHATI BUKUKU.JENNIFER.MUNGU ALIYE HAI AWABARIKI
© 2012 Designed & Developed by G5 CLICK COMPANY.

You need to be a member of G5 world to add comments!
Join G5 world