mimi ninaswali kama la Leonard kwamba hizo milioni 10apewe mtu mmoja inamaana kwamba hao wengine wamekuja kuuza sura mnatakiwa na hao wengine wapewe kitu chochote cha ukumbusho msipofanya hivyo mtakuwa hamuwatendei haki wengine.
MIMI NAONA KUA WASHIRIKI WOTE WA MAISHA PLUS WAMEJITAHIDI SANA KUFANANA NA KIJIJINI IKIWA NI PAMOJA NA KUTAABIKA SANA SASA NAULIZA VIPI KUACHA MILIONI KUMI ANAYOPEWA MSHINDI NI KWAMBA KUNA ZAWADI YEYOTE KWA WALE TISA WANAOBAKI??.
1. Mshiriki atakaeshinda atapewa milioni kumi. Swali, Je washariki watakofika Top five watapewa zawadi
gani?
2. Je maisha plus itakua ikifanyika kila baada ya muda gani baada ya mshindi kupatikana?
Hi maisha plus?iam mazimpaka from Rwanda and i would like to know when the final competiton will take place?when do that maisha plus will be ended and what creteria will you use to get the winner?
Comment by Jorge Rutenge on April 23, 2009 at 12:41am
Na mimi napenda kujua kama tunaweza kujua kura za sms kama vile tunavyojua hizi za kwenye mtandao.
Comment by sada z simba on April 22, 2009 at 5:20pm
hey wht z up kaka masoud and kaka bonda mm nlikuwa nauliza hiyo mill 10 atapewa mshindi sawa ni haki yake kwani kaweza ishi vizuri na wenzie, je hao washiriki wengine watarudi nyumbani mikono mitupu au pia wao watapewa kiasi fulani cha pesa au zawadi nyingine?!ASANTE
je maoni tunayo tuma kwa washiriki yanawafikia wahusika?Na je sisi tusio angalia television mtatutumiaje habari za kijijini? by JAFARI ISMAIL NDEMBO FROM MTWARA TECHNICAL SECONDARY SCHOOL.[jafarindembo@yahoo.com]
mimi naomba nitoe ushauri kwamba, tunapotoa wazo au ombi, mngekua na taratibu za kutujibu, maana tunakua tunauliza mambo chungu mzima lakini majibu hatupati. na maoni yangu ni kwamba kwa vile mliamua wenyewe kwamba mnatafuta mshindi mmoja atakayepata shs. mil 10, basi iwe hivyo hivyo mlivyopanga, kwenye kushindana mshindi ni mmoja bwana!! hivyo kama mtaamua kutoa pesa kwa tatu bora ni sawa lakini huyo mshindi wa kwanza apewe hiyo milioni kumi yake!!! na huyo ni ABDUL TU!!
Maisha plus!
kadri siku zinavozidi kwenda wanakijiji wanaongeza vituko na
chuki kati yao ingawa katika maisha halisi vipo.
hivi kaka masoud nini dhamira ya maisha plus?
sidhani kama lengo la maisha plus mlopanga litimie litakuwa kwa jinsi inavyokuwa nadhani washabiki
wengi wataangalia mshiriki mwenye vituko vingi na si mwenye kujua kuishi(maisha)na watu tofauti na familia ama mweye vigezo vya kushinda.
nini maana ya maisha plus nauliza atazawadwa mtu mshindi wa kwanza tu awo wote kumi waliobaki ?
shindano hil litaendelea mwaka ujao ?
camera za kuficwa zinahitajiwa maisha plus inapashwa kuwa kama big brother
asanteni
Just like my friends first thing I want to know the real reason for introducing Maisha Plus. What is it that you want people to learn. Secondly, I would like to know if there are people staying around the Maisha Plus Village and finally is this a permanent village for future Maisha Plus shows? Thanks for your time and for introducing this enjoyable show. LONG LIVE MAISHA PLUS
Nazani mko poa?
Sisi tunapenda kuwauliza kuhusiana na mwendelezo mzima wa Maisha Plus, kama mnatarajia kufikia kualika Afrika Mashariki lazima kuongezwe Taaluma ya uchukuaji wa picha je mmejiandaa vipi na hilo kwani kijiji kinatakiwa kiwe na chumba cha kuongoza kamera, ila sina uhakika uwa mnachukuaje picha zenu.
Hey bro Masoud nilikua nauliza hivi ile ilizi iliwekwa na nani? halafu ikiwezekana season ijayo mngeweka hiden camera kwani washiriki wanafanya vi2ko off the camera ha2waoni.
Comment by rose tandiko on April 22, 2009 at 1:26pm
me kila cku nikiwa kny computer huwa na VOTE,tena zaidi ya kura 1.sasa celewi kama kura zangu zote zinahesabiwa au ni moja tu?
You need to be a member of G5 world to add comments!
Join G5 world