eeenh bana niaje..? uko poa kaka.?
nilicheka sana juzi Mkubwa Kibonde kakuanika, anadai UOE unasubiri nini.? usijal,mi nakuunga mkono na nina imani wakati ukifika utaoa sababu ni nusu ya uislam wako na walitambua hilo, kila kheri kaka na mungu…
eeenh bana niaje..? uko poa kaka.?
nilicheka sana juzi Mkubwa Kibonde kakuanika, anadai UOE unasubiri nini.? usijal,mi nakuunga mkono na nina imani wakati ukifika utaoa sababu ni nusu ya uislam wako na walitambua hilo, kila kheri kaka na mungu muweza wa yote akupe mke mwema uje kuwa na familia bora, all ze best man