"Dah washiriki wa mwaka huu wanaboa sana kwani wengi wanafikiria kuwa wanatengeneza sinema hivyo wanataka kuishi kwa kufuata clips walizotoka nazo nyumbani! Umbea ni mwingi, ubabe usiseme, ujuaji ndio eeeheeeh, sijui huko mbele itakuwaje
Masoud na…"
"Hi happy day to you,i am miss nelly who viewed your profile today and like it very much,which makes me to write to you to let you know that i am intrested in you,therefore i will like you to write me back through my mail address so that i will tell…"
"Jamanii eeeeh mimi sikuwepo kabisa huku mjini na nilipokuwa hakuna mawasiliano kabisa! ila mtu wangu Hamisi a.k.a. "Kingunge" au Presidaaa" nadhani anastahili hiyo posho ya 10M"