"Mambo vipi Rey?naitwa Paul niko A town nina miaka 25 pia ni member wa 5click.Natamani sana kama utakuwa rafiki yangu,nimeona vitu unavyovipenda kwa kiasi kikubwa vinafanana sana na vya kwangu,itakuwa mzuka sana kama tutakuwa friends mendi zaidi…"
Mambo vipi Rey?naitwa Paul niko A town nina miaka 25 pia ni member wa 5click.Natamani sana kama utakuwa rafiki yangu,nimeona vitu unavyovipenda kwa kiasi kikubwa vinafanana sana na vya kwangu,itakuwa mzuka sana kama tutakuwa friends mendi zaidi tutafahamishana kadiri muda unavyokwenda.Siku njema Rey.
I`m out,P