TITO ANTHONY posted a statusAdded by fed calvin on May 29, 2012
50 Cent ,msanii kutoka kundi la G-unit .Juzi kwenye mtandao wa kijamii Twitter awaomba msamaha Interscope records(kampuni inayosimamia mziki wake) baada yakuwashutumu kuvujisha nyimbo zake na kuchelewesha Album yake.Ila mpaka sasa Interscope records bado haijatoa tamko lolote baada ya kuombwa msamahana msanii huyo.
© 2012 Designed & Developed by G5 CLICK COMPANY.


You need to be a member of G5 world to add comments!
Join G5 world