Advertisement

Latest Activity

Yusuph Mcharia posted a status
"What's on your mind?"
14 minutes ago
Yusuph Mcharia posted songs
21 minutes ago
Profile Iconxiaomin, lidPamshe98, queen adu and 3 more joined G5 world
2 hours ago
TITO ANTHONY posted a status
"Hey people!Let us think about others who can not have even a single meal per day,while others are throwing foods."
12 hours ago

FIND G5 ON

ADVERTISEMENT

Top 3 Photos Today

1. yeah

Added by eddie juma on May 11, 2012

2. Miss mliman

Added by amran bakar on May 29, 2012

3. Enginear abdul malik

Added by amran bakar on May 29, 2012

G5 Click.com yagombea heshima na Dj Choka, Fetty

XXL Teen extra Awards inazidi kuleta mzozo, categories ni nyingi na kila moja inavutia ila kuna moja ipo interesting kwa namna yake, hii ni Music Website of the Year ambayo imepewa herufi D. Katika category hiyo, vichwa kadhaa vimesimamishwa, DJ Choka (D2), Bongo5 (D3), DJ Fetty (D4), Babkubwa (D5) na G5 Click (D1). Kwa kuichambua category hiyo, this day tunao G5.

Huu ni mtandao unaoundwa na vijana wadogo wane ambao wote wanagonga shule pande za UG ndani ya Kampala International University na NCC Learn IT.

Madogo wanaounda G5 ni Mustapha Suleiman, Ombeni Phiri, Desy Ernest na Nelson Kisanga ambao kupitia ubunifu wao, wameweza kuitengeneza G5click.com ambayo itavuma anga za kimataifa kiasi cha wengine
kuifananisha na Facebook.

Usipime! G5 Click limeleta mapinduzi kwa kasi yake ya kupasha habari za burudani kwa wakati kupitia mtandaoni. Ndude zinazoifanya site hiyo ivutie ni kama kuwepo kwa ngoma mpya na kali on time, mashabiki
kuwasiliana na kuchati, kupata historia za wasanii, pia kujionea video na picha za matukio mbalimbali.

Akigonga matamshi kwa niaba ya wenzake, Mustapha alisema nasi wikiendi iliyopita kuwa wapo serious ndiyo maana wanagonga mambo makubwa na akaongeza: “Hivi sasa tunajipanga kwa ajili ya kutambulisha njia mpya ya kutangaza, kusambaza na kuuza kazi za wasanii ili waondokane na kilio plus lawama kwa mdosi.” Jinsi ya kupiga kura kwenye category hiyo, unaandika SMS yenye neno TN unaacha nafasi ikifuatiwa na namba yake ya utambulisho (code) halafu unatuma kwenda 15551. Unaikubali G5? Gonga SMS yenye maandishi, TN D1 halafu unaitupa kwenda namba 15551. Pia unaweza kutembelea Nipe5.com ili uweze kupiga kura kwa internet.

XXL Teen extra Awards inazidi kuleta mzozo, categories ni nyingi na kila moja inavutia ila kuna moja ipo interesting kwa namna yake, hii ni Music Website of the Year ambayo imepewa herufi D.

Katika category hiyo, vichwa kadhaa vimesimamishwa, DJ Choka (D2), Bongo5 (D3), DJ Fetty (D4), Babkubwa (D5) na G5 Click (D1). Kwa kuichambua category hiyo, this day tunao G5. Huu ni mtandao unaoundwa na vijana wadogo wane ambao wote wanagonga shule pande za UG ndani ya Kampala International University na NCC
Learn IT.

Madogo wanaounda G5 ni Mustapha Suleiman, Ombeni Phiri, Desy Ernest na Nelson Kisanga ambao kupitia ubunifu wao, wameweza kuitengeneza G5click.com ambayo itavuma anga za kimataifa kiasi cha wengine
kuifananisha na Facebook.

Usipime! G5 Click limeleta mapinduzi kwa kasi yake ya kupasha habari za burudani kwa wakati kupitia mtandaoni. Ndude zinazoifanya site hiyo ivutie ni kama kuwepo kwa ngoma mpya na kali on time, mashabiki kuwasiliana na kuchati, kupata historia za wasanii, pia kujionea video na picha za matukio mbalimbali.

Akigonga matamshi kwa niaba ya wenzake, Mustapha alisema nasi wikiendi iliyopita kuwa wapo serious ndiyo maana wanagonga mambo makubwa na akaongeza: “Hivi sasa tunajipanga kwa ajili ya kutambulisha njia mpya ya kutangaza, kusambaza na kuuza kazi za wasanii ili waondokane na kilio plus lawama kwa mdosi.” Jinsi ya kupiga kura kwenye category hiyo, unaandika SMS yenye neno TN unaacha nafasi ikifuatiwa na namba yake ya utambulisho (code) halafu unatuma kwenda 15551. Unaikubali G5? Gonga SMS yenye maandishi, TN D1 halafu unaitupa kwenda namba 15551. Pia unaweza kutembelea Nipe5.com ili uweze kupiga kura kwa internet.

Views: 43

Tags: Choka, Click.com, Dj, Fetty, G5, heshima, na, yagombea

Comment

You need to be a member of G5 world to add comments!

Join G5 world

© 2012   Designed & Developed by G5 CLICK COMPANY.

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service