TITO ANTHONY posted a statusAdded by fed calvin on May 29, 2012

T.I.D reports....Ilikua majira ya saa kumi unusu nikiwa natoka club billcanas pamoja na rafiki yangu ANNA tukiongozana kuelekea mlango mkubwa wa kioo nikiwa naongea na simu na Hisbert kwa sauti ya juu maana kelele za muziki zilikua zinasumbua nikiwa nimesimama nje ya mlango wa kioo ghafla akatokea bwana HASHIM ambaye alikua counter akiongea na wakata ticket akaja nje na kunipiga bonge la mtama nikaaunga chini ya sakafu na kuzirai kwa dakika kadhaa,mabaunsa wakanibeba na kuniweka pembeni maana nilikua mlangoni,nilipozinduka nilisikia maumivu makali kwenye mabega,mkono wangu wa kulia na mguu ambao unafanya kutembea kwangu kwa taabu,nikaangalia mkononi simu yangu sikuiona tena,nikawauliza mabaunsa wake jamaa amekwenda wapi!wakadai ameondoka tayari...nikajikokota kuelekea kwenye gari yangu na kuelekea polisi kutoa taarifa niweze kupata matibabu,nilipofika nikaaandika statement nikapewa namba ya case CD/RB/6848/10 pia nikapatiwa PF3 nikaenda hospitali nikapata matibabu,sasa hivi niko kitandani siwezi kutembea vizuri,pia nitashindwa kuperfom kwenye harusi ambayo tayari nishalipwa pesa tayari.SWALI langu ni kwanini ameamua kunidhalilisha vile mbele ya CLUB na FANZ ambao nilikua nawatumbuiza?kwanini ameamua kuniharibia kazi yangu?kwanini ameamua kunipiga bila ya kumkosea?JE NI SAWA HIVI JAMANI....naona MACHOZI YANANITOKA SINA CHA KUMUELEZA MAMA YANGU. habari kutoka kwa jabir ambae ni close friend wa t.i.d na kwa habari zaidi tembelea www.topbandtz.blogspot.com
ila kwa habari ambazo zipo chini ya kapeti kitaa ni kua inavyosemakana ANNA ambae ni rafiki yake TID aliekua nae club billcanas ndio chanzo cha ungonvi huo baada ya dem kutaka kumsalimia HASHIM THABEET na TID kukerwa na tukio hilo na akamletea dharau flani ndio akaamua kumpiga...hii ni habari ambayo kitaa kinalonga haijathibitika..
Comment
Comment by jamillah jafar on May 10, 2010 at 10:41am © 2012 Designed & Developed by G5 CLICK COMPANY.


You need to be a member of G5 world to add comments!
Join G5 world