TITO ANTHONY posted a statusAdded by fed calvin on May 29, 2012
Huyu ndio bibi ambae ana rap na kuimba, maajabu yake ameyaonyesha kwenye XXL ya CLOUDS FM leo, stori kamili nitaiweka baadae kidogo hapa hapa millardayo.com na itasikika pia kwenye AMPLIFAYA.
ana umri wa miaka 51, na mpaka sasa hajapata jina la kisanii la kutumia, track yake ya kwanza ameitoa leo kafanya na MH TEMBA
source:millardayo.com
Comment
Huyo Bibi katokea pande gani? Na anasemaje kuhusu Bongo Flavour na tasnia nzima ya mziki wa Bongo?
Hiii ni good idea kwa bibi then waDAU Mnao support music mpen bib support
Huyo bibi ntupieni mimi nimpe label DCT Music!
DCT Music Babyyyyyyyyyyyyyyy!
Comment by Abell paul on January 23, 2012 at 6:04pm inawezekana
babkubwaa ase!!!!!!
Comment by Ivary on January 23, 2012 at 11:26am He! haya makubwa, ukosefu wa ajira utatufanya kufanya kazi tusuzotarajia
Comment by Edmund Kisombe on January 23, 2012 at 8:31am mhhh!this is real revolution -kali ya mwaka
Comment by Omary K.A Msangi on January 23, 2012 at 8:07am Hakika ni maarufu
© 2012 Designed & Developed by G5 CLICK COMPANY.


You need to be a member of G5 world to add comments!
Join G5 world