Advertisement

Latest Activity

Janey Godley left a comment for alfred b. kalimenze
"Alfred, Many Happy Returns and wishing you all the best on your Birthday, From Janey Godley"
1 minute ago
Janey Godley left a comment for abdulrahman abdallah
"Abdulrahman, Many Happy Returns and wishing you all the best on your Birthday, From Janey Godley"
2 minutes ago
Janey Godley left a comment for Abdulrahman Abdallah
"Abdulrahman, Many Happy Returns and wishing you all the best on your Birthday, From Janey Godley "
3 minutes ago
Yusuph Mcharia posted a status
"What's on your mind?"
22 minutes ago

FIND G5 ON

ADVERTISEMENT

Top 3 Photos Today

1. yeah

Added by eddie juma on May 11, 2012

2. Miss mliman

Added by amran bakar on May 29, 2012

3. Enginear abdul malik

Added by amran bakar on May 29, 2012

Lloyd Banks - -Any Girl- feat Lloyd Official Music Video - [Uncensored Version]

Mkali wa muziki wa hip hop kutoka kruu ya Wagumu G-Unit inayowakilisha kutoka pande za New York, Lloyd Banks amelipa fadhila za shangwe alipowa na mashabiki wa burudani hapa pongo baada ya kutoa maks zenye ujazo kwa taifa hili kupitia ngoma yake mpya ya ‘Any Girl’ aliyomshirikisha staa wa Murder Inc, Lloyd Katika kile kinachoonekana kama alikuwa na hamu kubwa ya kutoa hala zake kwa wana Bongo mchizi amechana mistari ya kuipa shavu nchini hii ya wapenda amani kwenye ‘vesi’ ya kwanza katika wimbo huo akisema “Baby, I’m a millionair Got a show hoppin outta’ the leer in Tanzania.

“Nimefanya shoo nyingi ulaya na Amerika lakini linapokuja Suala la Afrika siku zote nimekuwa siisahau Tanzania ndiyo maana nimeamua kuzungumza kitu kuhusu nchini hii kwangu kwangu mimi hii ni nchni nzuri katika zile ambazo nimewahi kuzitembelea” alisema Lloyd

Comment

You need to be a member of G5 world to add comments!

Join G5 world

© 2012   Designed & Developed by G5 CLICK COMPANY.

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service